Kiduruma
Kiduruma (pia Chiduruma) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Waduruma. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiduruma imehesabiwa kuwa watu 397,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiduruma iko katika kundi la E70.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiduruma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiduruma Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiduruma katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dug
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiduruma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |