Kidyaberdyaber (au Kijabirrjabirr) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wadyaberdyaber katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kidyaberdyaber ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidyaberdyaber kiko katika kundi la Kinyulnyulan.

Maeneo ya lugha za asili karibu na mji wa Derby, pamoja na Kijabirrjabirr (zambarau)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidyaberdyaber kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.