Kiendeshaji

Kiendeshaji (kwa Kiingereza: driver au device driver) ni programu ya tarakilishi inayotumika ili kudhibiti kifaa kinachotumika kwa tarakilishi hiyo.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).