Vifaa (tarakilishi)

Vifaa ni sehemu za tarakilishi zinazoshikika (kwa Kiingereza: hardware). Vifaa ni aina zote za vifaa vya tarakilishi, navyo vimegawanyika katika sehemu kuu tatu:

  1. vifaa vya kuingizia vitu (Input devices),
  2. vifaa vya kutolea vitu (Output devices) na
  3. vifaa katika tarakilishi (Kadi ya mtandao, Kadi ya sauti, diski kuu).
Bongo kuu inayoitwa PDP-11-M7270.

Vifaa ni kinyume cha programu tete.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.