Kiengenni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waengenni. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kiengenni imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiengenni iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiengenni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.