Kienu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahani. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kienu imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kienu iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kienu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.