Kietebi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waetebi. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kietebi imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kietebi iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kietebi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.