Kifaita
Kifaita ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wafaita. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kifaita imehesabiwa kuwa watu 50 tu, na lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifaita iko katika kundi la Kimadang.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kifaita kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifaita Archived 9 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kifaita katika Glottolog
- lugha ya Kifaita kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifaita kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |