Kifali-Baissa

Kifali-Baissa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wafali-Baissa. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kifali-Baissa ilikuwa ndogo sana, yaani wachache tu waliweza kuongea Kifali-Baissa. Kwa hiyo, inawezekana kuwa lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, haijulikani Kifali-Baissa iko katika kundi gani.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifali-Baissa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.