Kifaranga (wingi: vifaranga; kutoka neno la Kireno frango, maana yake kuku) ni kitoto cha kuku.

Hivi ni vifaranga
Hawa ni vifaranga.
Hivi ni vifaranga vya kuku vikiwa kimetotolewa
Hawa ni vifaranga wa kuku wakiwa wametotolewa.

Vifaranga wakati wanapototolewa wanatoka wa jinsia ya kiume na ya kike. Kifaranga huwa aina ya ndege hata kuku na jogoo.

Kifaranga hutokea baada ya jogoo kumpanda kuku na kuku kutoa mayai na pia huyatamia na kutokea kifaranga baada ya muda fulani.

Faida za kifaranga wa kike

hariri

Faida za vifaranga wa kike ni kama vile:

1. Baada ya kukua huweza kuuzwa.

2. Baada ya kukua hutumika kama nyama.

3. Baada ya kukua, akishapandwa na jogoo, huleta mayai ambayo huweza kuuzwa au kuyaacha kuku ayatamie kwa ajili ya vifaranga wengine.

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifaranga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.