Kifas
Kifas ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inazungumzwayo na Wafas. Mwaka wa 2000 idadi ya wazungumzaji wa Kifas imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kifas iko katika kundi lake lenyewe la Kifas. Lugha la pekee linalohusiana na Kifas ni Kibaibai.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kifas kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifas Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kifas katika Glottolog
- lugha ya Kifas kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |