Kiga'anda ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waga'anda. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiga'anda imehesabiwa kuwa watu 43,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiga'anda iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiga'anda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.