Kigamo-Gofa-Dawro

Kigamo-Gofa-Dawro ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wagamo, Wagofa na Wadawro. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kigamo-Gofa-Dawro imehesabiwa kuwa watu 1,240,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigamo-Gofa-Dawro iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigamo-Gofa-Dawro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.