Kigamo-Ningi ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria iliyozungumzwa na Wagamo-Ningi. Ingawa idadi ya Wagamo-Ningi imehesabiwa kuwa watu 15,000 mwaka wa 1992, watu wote waliacha kuongea lugha yao ya asili na kuzungumza Kihausa tu. Maana yake ni lugha ya Kigamo-Ningi imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigamo-Ningi iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigamo-Ningi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.