Kiganang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waganang. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kiizere. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiganang imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiganang iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiganang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.