Kigbagyi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagbagyi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigbagyi imehesabiwa kuwa watu 700,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbagyi iko katika kundi la Kinupoidi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbagyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.