Kigbari
Kigbari ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagbari. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigbari imehesabiwa kuwa watu 350,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbari iko katika kundi la Kinupoidi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigbari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigbari Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigbari katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gby
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigbari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |