Kigbaya-Bossangoa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wagbaya. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kigbaya-Bossangoa imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbaya-Bossangoa iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbaya-Bossangoa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.