Kigedeo
Kigedeo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wagedeo. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kigedeo imehesabiwa kuwa watu 637,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigedeo iko katika kundi la Kikushi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigedeo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigedeo Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigedeo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/drs
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigedeo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |