Kigelao Nyeupe (pia Kiduoluo) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wagelao. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kigelao Nyeupe nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 1200. Pia kuna wasemaji 20 tu nchini Vietnam (2002). Lugha ya Kigelao Nyeupe imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigelao Nyeupe iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigelao Nyeupe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.