Kigelao cha Kijani
Kigelao ya Kijani (pia Kihagei) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Wagelao. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigelao ya Kijani imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uchina. Lugha ya Kigelao ya Kijani imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigelao ya Kijani iko katika kundi la Kikra.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigelao ya Kijani kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigelao ya Kijani Archived 22 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigelao ya Kijani katika Glottolog
- lugha ya Kigelao ya Kijani kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigelao cha Kijani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |