Kighotuo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waghotuo. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kighotuo imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kighotuo iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kighotuo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.