Kighulfan ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Waghulfan. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kighulfan imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kighulfan iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kighulfan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.