Kigibanawa
Kigibanawa ni lugha ya pijini nchini Nigeria iliyotokana na Kihausa. Idadi ya wasemaji wa Kigibanawa haijulikani, na kwa vyovyote, inaongelewa kama lugha ya pili tu, yaani hakuna wanaoiongea kama lugha ya mama.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigibanawa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigibanawa Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigibanawa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gib
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigibanawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |