Kigoda
Kigoda ni kiti ambacho kinafanana na meza ndogo ambayo huwa haswa na matendeguu matatu au manne.
Kiti hiki huwa hakina mgongo wa kuegemea na pia hakina mikono.
Kimoja ni kigoda. Vingi huitwa vigoda.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigoda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |