Kigonja ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wagonja. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kigonja imehesabiwa kuwa watu 230,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigonja iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigonja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.