Kigrebo-Gboloo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wagrebo. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigrebo-Gboloo imehesabiwa kuwa watu 64,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigrebo-Gboloo iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigrebo-Gboloo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.