Kiguiqiong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Waguiqiong. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiguiqiong imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiguiqiong iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiguiqiong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.