Kigule ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan iliyozungumzwa na Wagule. Mwaka wa 1983 idadi ya Wagule imehesabiwa kuwa watu 1000 tu lakini walikuwa wameshasahau lugha yao yaani hawakuendelea kuongea Kigule. Kwa hiyo, lugha ya Kigule imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigule iko katika kundi la Kikomuz.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.