Kiguriaso ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waguriaso. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiguriaso imehesabiwa kuwa watu 160. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiguriaso iko katika kundi la Kikwomtari.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiguriaso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.