Kigwamhi-wuri

Kigwamhi-wuri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagwamhi na Wawuri. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigwamhi-wuri imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigwamhi-wuri iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigwamhi-wuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.