Kigwandara ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagwandara. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigwandara imehesabiwa kuwa watu 27,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigwandara iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigwandara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.