Kihadiyya
Kihadiyya ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wahadiyya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihadiyya imehesabiwa kuwa watu 1,250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihadiyya iko katika kundi la Kikushi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihadiyya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihadiyya Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihadiyya katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/hdy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihadiyya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |