Kihaiǁom (pia Kiheikom) ni lugha ya Khoisan nchini Namibia inayozungumzwa na Wahaiǁom. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihaiǁom nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 18,400. Hata hivyo kuna Wahaiǁom 30,000 nje ya Namibia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihaiǁom kiko katika kundi la Kikhoekhoe.

Enezi la Kihaiǁom

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihaiǁom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.