Kihamer-Banna
Kihamer-Banna ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wahamer na Wabanna, makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihamer-Banna imehesabiwa kuwa watu 74,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihamer-Banna iko katika kundi la Kiomotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihamer-Banna kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihamer-Banna Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihamer-Banna katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/amf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihamer-Banna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |