Kiharari ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waharari. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiharari imehesabiwa kuwa watu 25,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiharari iko katika kundi la Kisemitiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiharari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.