Kihermit
Kihermit ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wahermit. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kihermit tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihermit iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihermit kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihermit Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihermit katika Glottolog
- lugha ya Kihermit kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihermit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |