Kihigaonon
Kihigaonon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wahigaonon. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kihigaonon imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihigaonon iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihigaonon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihigaonon Archived 9 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihigaonon katika Glottolog
- lugha ya Kihigaonon kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihigaonon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |