Kihiligaynon

Kihiligaynon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wahiligaynon. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihiligaynon imehesabiwa kuwa watu 5,770,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihiligaynon iko katika kundi la Kifilipino.

Hiligaynon language map.png

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihiligaynon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.