Kihinukh ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wahinukh. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kihinukh imehesabiwa kuwa watu watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihinukh iko katika kundi la Kitseziki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihinukh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.