Kiholoholo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waholoholo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiholoholo imehesabiwa kuwa watu 15,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiholoholo iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiholoholo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.