Kihorpa ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahorpa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kihorpa imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihorpa iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihorpa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.