Kihozo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wahozo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kihozo imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihozo iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihozo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.