Kihun-Saare
Kihun-Saare (au Kiduka) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasaare. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kihun-Saare imehesabiwa kuwa watu 73,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihun-Saare iko katika kundi la Kikainji.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihun Archived 13 Machi 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihun katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dud
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihun-Saare kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |