Kihungworo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wahungworo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kihungworo imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihungworo iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihungworo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.