Kihwana
Kihwana ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wahwana. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kihwana imehesabiwa kuwa watu 32,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihwana iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihwana kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihwana Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihwana katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/hwo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihwana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |