Kiibaloi
Kiibaloi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waibaloi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiibaloi imehesabiwa kuwa watu 111,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiibaloi iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiibaloi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiibaloi Archived 9 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiibaloi katika Glottolog
- lugha ya Kiibaloi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiibaloi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |