Kiibatan
Kiibatan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waibatan kwenye kisiwa cha Babuyan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiibatan nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 1240. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiibatan iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiibatan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiibatan Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiibatan katika Glottolog
- lugha ya Kiibatan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiibatan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |