Kiidakho-Kiisukha-Kitiriki ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na makabila matatu, yaani Waidakho, Waisukha na Watiriki. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiidakho imehesabiwa kuwa watu 598,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiidakho iko katika kundi la E40.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiidakho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.