Kiigbo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waigbo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiigbo imehesabiwa kuwa watu milioni 18. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiigbo iko katika kundi la Kiigboidi.

Kiigbo

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiigbo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.